Base (Swahili) |
Kiswahili |
 | Sura ya Iringa jioni ya leo |
 | Bado ni Iringa hapa jioni hii |
 | Hii ni shughuli iliyofanyika mchana huu kwenye moja ya Guest House nilikolala nimekutana na hali hii kwenye dust bin , tunashukuru hawa ndiyo waliojali, je hawa wanaokwenda nyama kwa peku inakuwavipi katika maambukizi mapya? je mikakati maalumu ya kukabiliana na maambukizi Iringa inatekelezeka? |
|
|