Log in

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WI0005DF7927D39000021608:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) Kiswahili

Kikundi kilianza mwaka 2004,kikiwa na wanachama kumi,kwa sasa idadi hiyo imeongezeka hadi kumi na tano.Kiundi kinafanya kazi katika kata kumi na moja zilizopo wilaya  ya Ilemela, mkoa wa Mwanza.Makao makuu ya kikundi yapo kata ya Kitangiri, wilaya ya Ilemela.

(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register