Log in

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WI0003D065C7022000028276:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) Kiswahili

To see the most recent discussions from all organizations on Envaya, click Discussions at the top of any page on Envaya, as shown below:

This page shows the topic of each recent discussion and part of the most recent message in that discussion. To see discussions started by certain kinds of organizations, (for example, organizations involved in Human rights), click All sectors, then choose a sector from the menu. If you only want to see discussions started by organizations in a particular geographical region, click All regions, then choose a region from the menu.

To read the messages in any discussion, or add your own message to any discussion, just click that topic from the list.

 

Ili kuona majadiliano mapya kutaka mashirika yote kwenye Envaya, bonyeza Majadiliano au Discussions juu ya ukurasa wowote kwenye Envaya, kama hapo chini:

Ukurasa huu unaonyesha kila mada ya jadiliano na sehemu ya ujumbe wa mwisho wa jadiliano. Ili kuona jadiliano lililoanzishwa na aina fulani ya mashirika (kwa mfano, mashirika yanayofanya kazi ya haki za Binadamu), bonyeza Sekta zote, kisha kuchagua sekta kutoka menyu. Ikiwa unataka kuona majadiliano yaliyoanzishwa na mashirika katika eneo fulani kijiografia, bonyeza Sehemu zote, kisha kuchagua mkoa kutoka menyu.

Ili kusoma ujumbe katika jadiliano lolote, au kuongeza ujumbe wako mwenyewe kwa jadiliano lolote, bonyeza mada katika orodha.

 


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

youngj
July 25, 2011
Ili kuona majadiliano mapya kutaka mashirika yote kwenye Envaya, bonyeza Majadiliano au Discussions juu ya ukurasa wowote kwenye Envaya, kama hapo chini: – (image) – Ukurasa huu unaonyesha kila mada ya jadiliano na sehemu ya ujumbe wa mwisho wa jadiliano. Ili kuona jadiliano lililoanzishwa na aina fulani ya mashirika (kwa mfano, mashirika yanayofanya kazi ya haki za Binadamu), bonyeza Sekta zote,...
This translation refers to an older version of the source text.
Google Translate
July 19, 2011
Kuona mijadala ya karibuni zaidi kutoka mashirika yote juu ya Envaya, click Majadiliano juu ya yoyote ya ukurasa Envaya, kama hapa chini: – (image) – Ukarasa huu inaonyesha mada ya hivi karibuni na kila sehemu ya ujumbe wa hivi karibuni katika mjadala. Kuona mijadala ya kuanza kwa aina fulani ya mashirika, (kwa mfano, mashirika ya kushiriki katika haki za Binadamu), click sekta zote, kisha kuchagua sekta ya...
This translation refers to an older version of the source text.