Base (Igiswayire) | Kiswahili |
---|---|
Binafsi nawashukuru envaya kutoa fursa kwetu ya ufahamu mashirika ambayo yanaitaji watu wa kujitolea, mimi n muhitimu wa elimu ya chuo kikuu, ningependa nijitolee, kwasababu itaniongezea uwezo wa utendaji kazi, kuliko kupoteza muda mtaani, ninachooomba angalau ayo mashirika yangetoa ata alowance kidogo wa wanaojitolea ili waweze kujikimu. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe