Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Mrumate Disabled Centre ina mpango wa kushirikiana Chama cha Wagonjwa wa Sukari Tanzania - Tanzania Diabetes Association [ TDA] Chama cha TDA kinashirikiana pia na Handicap International kuendesha program ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa sukari kwa kasi katika wilaya za Arusha, Arumeru na Monduli, kwa hiyo Asasi yetu itashiriki katika uelimishaji ndani ya jamii inayotuzunguka. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe