Fungua

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maandiko ya Watumiaji: CM0000883C811F5000009584:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili
tunategemea kufungua kituo cha habari kwa vijana pale katika barabara ya makuburi EPZA opposite na kanisa la kilutheri Mabibo-kinondoni.Kituo hicho kitakuwa na huduma mbalimbali za kupata information kutoka kila mahali kama wizara,mashirika mbalimbali na taasisi pia kutakuwa na kozi mbalimbali zinaendeshwa pale kama za kiingereza,Computer,ujasiriamali n.kni kituo pekee sana hapa Tanzania na Africa kwa ujumla.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe