Internal ID | Asili | Kiswahili | Maoni | Muda ya Uumbaji |
---|---|---|---|---|
home:title | A technology platform for civil society organizations in developing countries | Mfumo wa teknologia kwa mashirika ya jumuiya ya kiraia katika nchi zinazoendelea | The title (in the browser title bar) of the envaya.org home page. | 11 Mei, 2011 na youngj |
email:about | This email was sent to {email} because {name} registered this email address on Envaya. | Email hii imetumiwa {email} kwa sababu {name} amejiandikisha anwani hii ya barua pepe kwenye Envaya. | Disclaimer in the footer of emails sent by Envaya's administrators to approved organizations that have websites on Envaya.
The first %s is the email address, like "xyz@gmail.com" The second %s is the name of the organization, like "Community Forests Pemba" | 11 Mei, 2011 na youngj |
design:saved | Website design saved successfully. | Mwonekano wa tovuti umehifadhiwa. | Message displayed to users when they save their website design. | 11 Mei, 2011 na youngj |
design:header:constraints | The header image must be in JPG, GIF, or PNG format. The maximum size is 700 pixels wide by 150 pixels high. | Lazima picha ya kichwa iwe muundo wa JPG, GIF, au PNG. Ukubwa wa upeo ni pixeli 700 za upana na pixeli 150 za urefu. | Informational text about the restrictions on header images. | 11 Mei, 2011 na youngj |
design:header:chooseimage | Choose an image to use as your website header: | Chagua picha kutumia kama kichwa chako cha tovuti: | Prompt for organizations to select a custom header image from their computer. | 11 Mei, 2011 na youngj |