About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/nuruhalisi/history
: English
Base
English
Nuru Halisi ilianza kama kikundi ambacho kilikua kikitoa elimu kwa jamii mwaka 2008 katika Manispaa ya Dodoma. Baada ya kuona jamii inapokea elimu wanayopewa na kukubali kazi yetu, tuliona ni vyema kupata usajili ili tutambulike zaidi na kuweza kuifikia jamii nchi nzima na tulianza kufuata taratibu za usajili na hatimaye January 2009 tukapata usajili rasmi. Tulianza kazi kwa kujitangaza na kutanuka kwa kadri tulivyoweza na hadi sasa tumeishaifikia mikoa minne Tanzania...
Light music started as a group that kilikua kikitoa education community in 2008 in Dodoma Municipality. After seeing the community receives the education they are given and accept our work, we thought it best to get registered so that we can gradually reduce mbulike more communities across the country and we began to follow the procedures for registration and January 2009 we finally received official registration. We began to work for promotion and kutanuka as we can...
Edit