Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/nvrf/topic/123260/add_message
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Charles Chama kitakacho leta mabadiliko Tanzania ni Katiba mpya tu ambayo itatetea jasho la Watanzania Lkn ninawasihi wale wote amba ni viongozi kuacha kujilundikia mali watalaaniwa unajua jana nilikuwa nafanya home visit ambayo ni kawaida yangu kila wiki kufanya hivyo nilikuta Familia moja haijala na hawana mpango wa kupata chakula ni saa tisa jioni angalia hali ilivyo mbaya. Kaka ujumbe wangu tumuogope Mungu tuache ubinafsi.
(Bila tafsiri)
Hariri
Jasho la mtanzania limeendelea kuvuja bila mafanikio yoyote viongozi ambao nao ni wtz wameendelea kuchuja na kulimwaga ndan ya matumbo yao bila huruma utu wala uchungu kwa wanzao yote haya yanafanywa kwa makusudi pamoja na hila zilizo ndan ya mioyo yao jamani nchi yenye matatizo katika kusimamia mali zake kama hii bado tena tunaongeza mzigo kwa kuongeza watu wengne wakusimamia wakati hata wale waliopo bado ni mzigo kwa watz kiufupi tuna mawaziri zaidi ya 55 ambao wanatumia kodi zetu katika...
(Bila tafsiri)
Hariri
JASHO LA MTANZANIA
(Bila tafsiri)
Hariri