About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/nvrf/topic/123459
: English
Base
English
Habari gani ndugu zangu ktka tanzania yetu.sitopoteza mda sana lakini nipenda kuwajulia hali ingawa nafahamu kua mlipo mnamachungu na maumivu kwa jnsi vile mnavyozidi kuumizwa siku baada ya siku.ndugu zangu kwakweli inaumiza sana kuona leo tunapandishiwa nauli wakati bado tunatahabika na hali ngumu ya maisha ya kila siku mimi leo nina sababu kuu tatu za kutoridhika kwa ongezeko la nauli hizi 1;hakuna ongezeko ktka bei ya mafuta 2:pato la mtanzania halipanda 3:hakuna oboreshwaji wowote ule...
(Not translated)
Edit
MTANZANIA NA ONGEZEKO LA NAULI
Tanzania and increase in fares
Edit