Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/hucade/post/109692
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Kutokana na volunteer huyu watoto hawa wameweza kupelekwa maeneo mengi ya burudani na hata kusahau shida zao kwa muda na kujifunza mengi kutokana na mambo mengi waliyoyaona hata na mazingira pia. Tunatoa mwito kwa wengine wote watakaoguswa kama Sophia kuwapa watoto wetu furaha kwani ni kitu kikubwa sana katika maisha ya binadamu yeyote.
(Not translated)
Hindura
(image) – Watoto wakiogelea katika maporomoko ya maji pamoja na volunteer Bi Sophia Dorner kutoka Ujerumani
(Not translated)
Hindura