Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Huduma inayotolewa na Hucade ni pamoja na kuwasaidia walemavu wa viungo kama binti huyu anavyoonekana baada ya kukatwa katwa na watu wasiojulikana, hata hivyo Mungu Ameweza kumsaidia ameponya roho yake japo hana kiungo muhimu hivyo kutegemea msaada wa watu wengine. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe