Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/ovga/post/11
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Shirika limefungua chuo cha mafunzo kwa Vijana ili kuepuka ukosefu wa ajira ili kujinasua na wimbi la Umasiki mkoani Njombe.Vijana wote mnakaribishwa kwa kupata mafunzo ya Ufundi. Wanafunzi wote watakao hitimu watapewa Vifaa vidogovidogo vitakavyo wasaidi kama nyezo za kazi kwa Ufundi selemara,Ujenzi na Umeme.
(Bila tafsiri)
Hariri