Envaya

/kuchele/post/4531: Kiswahili: WI000BAF85BD2F7000004531:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

Kuchele Mtopwa imeandika Maombi kwa ajili ya kuendesha Mafunzo ya Utawala Bora kwa viongozi wa Asasi 100;viongozi 84 toka Serikali za vijiji tano vya Kata ya Mtopwa na wajumbe 16 toka makundi ya watu wenye ulemavu katika kata ya Mtopwa kwenye Shirika la The Foundation For Civil Society la DSM jumla ya fedha zilizoombwa ni shilingi  za kitanzania milioni arobaini na nne mia saba na mbili elfu mia moja kumi na mbili tu. (44,702,112/-) 

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe