Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
HABARI WAUNGWANA MTANDAO WA WASANII MOROGORO (MWAMO) UNAWATAKIA WAISLAMU WOTE NA WATANZANIA KWA UJUMLA HERI YA SIKU KUU YA IDD ELFITRI NJEMA. KAULI MBIU YETU DUMISHA AMANI TANZANIA NI YETU. ASANTE SALUM TINDWA MKURUGENZI MTENDAJI MWAMO |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe