TUNDUMA YOUTH GROUP ni umoja ulioanzishwa na vijana wa ishio Tunduma kwa nia kubwa ya kusaidia vijana ili kufikia malengo mbalimbali waliyojiwekea katika maisha yao baada ya kuhitimu masomo katika ngazi mbalimbali. – malengo ya asasi hii isiyo ya kiserikali ni haya yafuatayo – 1.kutoa elimu juu ya ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa – 2.kutoa elimu ya ujasilia mali kwa vijana – 3.hifadhi ya mazingira – 4.mikopo kwa ajili ya biashara... | (Not translated) | Hindura |