Kwa mashirika yetu yaliyopo vijijini tunazo changamoto mbambali katika kutekeleza miradi ya jamii kutokana na jamii zenyewe kushindwa kutofautisha ni yapi mashirika ya mikopo na yale ya huduma, hivyo tunatoa maoni mashirika haya ya vijijini kupata ushirikiano wa karibu na mashirika mengine kwani walengwa wengi wanapatikana vijijini. Tunawapongeza Foundation kwa kuwa wanajali na wanatufikia huku vijijini, mashirika mengine yaige mfano huo. | (Not translated) | Hindura |