Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/ikwabe/post/102786
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Tuna mazingira yakutunze
(Bila tafsiri)
Hariri
UHARIBIFU WA MAZINGIRA. – Katika maisha ya sasa uhalibifu wa mazingira umekuwa ni kiwango cha juu sana kiasi kwamba kampeni zote zinazopigwa inaonekana ni kama kutwanga maji kwenye kinu. – Fedha nyingi sana zinatolewa kuhifadhi misitu lakini inaonekana haziwafikii walengwa na kusababisha uharibifu kuendelea kama jinsi kamera yetu ilivyonasa uharibifu huu wa miti katika harakati za uchomaji mkaa. – (image)
(Bila tafsiri)
Hariri