Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Kinachofurahisha ni kuona kuwa, bado wafadhili huwa wanaendelea kutoa ruzuku. Lakini asasi nyingi kumebaki majina tu, lakini kutekeleza shughuli mbalimbali kulingana na mpango kazi. Tatizo ni tegemezi kwa kuomba ruzuku tu. Kushindwa kuwa na mikakati thabiti ya kiuzalishaji kwa ajili ya kumudu kuhudumia watumishi wake na mahitaji mengine ya kiasasi. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe