About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/kioo/post/7777
: English
Base
English
Baada ya changamoto zilizotolewa na maradi huu wa ufuatiliaji wa uwajibikaji kijamii sasa halmashauri ya wilaya ya Kigoma imeanza kubandika kwenye mbao za matangazo taarifa za mapato na matumizi ikiwa ni pamoja na bajeti za kila mwaka kwenye kila kata.Hii imeonekana katika kata ya Mwandiga na mtendaji wa kata hiyo amekiri kwamba taarifa hizo zimeletwa siku mbili zilizopita kwani ilionekana wakaguzi kutoka ofisi ya CAG na wale wa maboresho ya serikali za mitaa walikuwa mbioni kuja kukagua namna...
After the challenge offered by this project, the monitoring of social accountability is now the Kigoma district council has begun to post information on notice boards revenue and expenditure including annual budgets in each kata.Hii proved in the county of Mwandiga and executive Ward admitted that it had been given information two days ago because it seemed inspectors from the office of the CAG and the reform of local government were underway to examine how citizens are involved in making...
Edit
Wananchi wa kijiji cha Nyamhoza wamemshikiria mwenyekiti wao wa kijiji kwa tuhuma za kula fedha za pemebeo za kilimo ambapo alishirikiana na kamati ya vocha ya kijiji kula fedha hizo.Aidha mtendaji wa kijiji hicho ameshatoroka na hadi sasa hajulikani aliko. Juhudi hizi zimefanyika kupitia mradi wetu wa ufuatiliaji wa matmizi ya umma. – Habari nyingine tulizozipata wakati wa ufuatiliaji na tathimini ya mradi kutoka kijiji cha Kirando mwenyekiti wa kijiji hicho amepigiwa kura ya...
Citizens of the village of Nyamhoza they have crowns chairman of the village to eat money accusations pemebeo farm where he collaborated with the village committee voucher eat money hizo.Aidha executive village and up to now has shatoroka unknown invitation. These efforts have been done through our project monitoring matmizi public. – News we found during the monitoring and evaluation of the project from the village of Kirando chairman of the village had voted down the no...
Edit