Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/kioo/volunteer
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Umoja wa wawezeshaji kioo ni shirika lisilokuwa la kiserikali lenye makao yake makuu katika kijiji cha Ilagala na sasa lina uhitaji wa wafanyakazi wa kujitolea wapatao 5 kwenye maeneo yafuatayo:- Uandishi wa miradi, M&E specilists, mtunisha mfuko (fundrise office) na mtu wa IT kwa ajili ya kuweka kumbukumbu mbalimbali za shirika kwenye website yetu ambayo ni www.kioo.org
(Bila tafsiri)
Hariri