Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/kitambi/history
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Asasi imeanzishwa mwaka 2010 kwa kuwakusanya wananchi wa rika tofauti, walemavu na wasokuwa walemavu ili wafanye mazowezi ya pamoja kila siku asubuhi na jioni. Mahala wanapokusanyika ni maeneo ya Ngazi miaMjini Unguja. Kitambinoma kimekuwa sasa kwa kupata wanachama mengi kwa kipindi hiki kifupi kipatacho miaka miwili. Kinajumla ya wanachama wasopungua 120 kama ilivyohakikiwa wakati wa Bonanza ya mwaka 2012. Kitambinoma hivi sasa kinafanya mazowezi kila siku ya jumamosi...
(Bila tafsiri)
Hariri