Asili (Kiingereza) | Kiswahili |
---|---|
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Wawezeshaji wa Vikundi vya Walezi wa Watoto Wanaoishi katika Mazingira Hatarishi Zaidi
(01 Mei 2013) WORTH ni mpango wa kuwawezesha wanawake, unaolenga kuwaelimisha ili waweze kujiwekea akiba na kuanzisha miradi/biashara zitakazowasaidia kujikwamua kiuchumi kwa manufaa yao na Watoto Wanaoishi katika Mazingira Hatarishi zaidi,. Mpango huu uko chini ya Kilio Cha Waathirika na Waathiriwa wa UKIMWI Tanzania (KIWWAUTA) na unatekelezwa katika kata tano za wilaya ya Mbarali: Lugelele, Imalilo Songwe, Mapogoro, Ihahi na Ubaruku. Asasi ya KIWWAUTA inatangaza nafasi za kazi (Wawezeshaji wa Vikundi) kwa watanzania wenye sifa zifuatazo:- Sifa za mwombaji:
Kazi za kufanya:
Mkataba na Mshahara: Mwombaji mwenye sifa zilizotajwa hapo juu na atakayefaulu usaili ataajiriwa kwa mkataba wa miezi minne na mshahara wa laki moja na nusu (150,000/=) kwa mwezi, pia atapatiwa baiskeli moja kwa shughuli za mradi na ataruhusiwa kurejea mkataba iwapo pesa za mradi zitakuwepo na kama ataonyesha ufanisi mkubwa wa kazi. Maombi yawasilishwe kwenye ofisi za Kata husika yakiambatanishwa na nakala za vyeti, historia fupi ya habari binafsi kuhusu masomo na kazi ulizowahi kuzifanya pamoja na nambari yake ya simu ambayo anaweza kupatikana kwa urahisi kabla ya tarehe 20 Mei 2013.
Kwa mawasiliano na ufafanuzi zaidi. Tafadhali usisite kwa kupiga namba hizi:-0763679590 au 0752029094.
|
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe