Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/mmpo/post/8
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Wasaidizi wa sheria(Emmanuel Alphonce na Samwel Joseph) wakimsikiliza Mwl.Mkuu wa shule ya Msingi Nyakato "C" iliyoko Manispaa ya Musoma wakati akito changamoto zinazowakabili wanafunzi katika shule yake ikiwa ni pamoja na wanafunzi kukosa malezi bora kutoka kwa wazazi/walezi wao katika suala la elimu. – (image)
(Bila tafsiri)
Hariri