Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/nyedaco/topic/61865/add_message
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
@Godlisten Msanapenda kuchangia katika hili tunapokosea sisi ni sehemu moja tu kwamba unatibu malaria baada ya kuangamiza mazalia ya mbu kwani ndio chanzo cha kuenea kwa malaria. vile vile elimu haitolewi ipasavyo upotoshaji unakuwepo mkubwa ambao unawafanya watu wasiokuwa na elimu kudharau kinga zinazotolewa na serikali kwa mfano (chandarua) kuna baadhi ya watu wanasema zina madhara kwa binadamu bila kufanya utafiti wowote na jinsi ninavyofahamu jamii kubwa ya...
(Not translated)
Hindura
nakaribisha wadau kuchangia
(Not translated)
Hindura
Juhudi kubwa zimefanyika kutokomeza ugonjwa wa malaria, lakini bado tunashuhudia maelfu ya binadamu wenzetu wakiteketea kwa ugonjwa huu. Je ni wapi sisi kama watanzania tunapokosea?
(Not translated)
Hindura