Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/mzizict/post/67604
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Its good idear. kwa pa1 2naweza.
(Bila tafsiri)
Hariri
Habari wapendwa ktk Envaya! mzizi cultural troup tumefungua kituo cha habari na sanaa kwa vijana katika kata ya mwangata kalenga road! lengo kubwa ni kusogeza jirani na vijana huduma na taarifa juu ya afya ya uzazi na haki kwa vijana, mategemeo yetu ni kuwa na vipindi maalum kila wiki kwa makundi maalum kujadiliana juu ya afya ya uzazi na haki! tunategemea pia kuwa na siku maalum kwa wiki ambayo vijana wadogo watashindana kuandika INSHA juu ya afya ya uzazi na haki kwa vijana na mshindi...
(Bila tafsiri)
Hariri