Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/mzizict
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
kutumia sanaa za maonyesho kama nyenzo kuu ya mawasilianao kwa vijana katika kupashana habari na uzoefu juu ya afya ya uzazi,haki za afya ya uzazi miongoni mwao na hata kupigana vita na; – 1.mimba za utotoni – 2.vifo vya akina mama na watoto – 3.VVU/UKIMWI – Vijana wanayafanya hayo kwa kutumia sauti zao,vipaji vyao na miili yao.
(Bila tafsiri)
Hariri