Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/myda/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
TUNAOMBA USHIRIKIANO WENU KATIKA MAENDELEO YA CIVIL SOCIETY NCHINI TANZANIA ILI TUWE WADAU/WASHIRIKI MUHIMA KTK MCHAKATO WA MAENDELEO YA KIJAMII NA KIUCHUMI, – NAWATAKIA KAZI NJEMA.
(Bila tafsiri)
Hariri
TUPO KATIKA MCHAKATO WA USAJILI WA NGO YETU,KATIBA ,WASIFU WA VIONGOZI WATATU YAANI CV NA PICHA ZAO,MUHTASARI WA KIKAO CHA KUANZISHA SHIRIKA UKO TAYARI NA BARUA TOKA MTENDAJI WA KIJIJI(VEO) YA UTAMBULISHO TUNAYO,WIKI IJAYO TUNAPELEKA MAOMBI YETU WILAYANI/HALMASHAURI BAADA YA HAPO MKOANI MWISHOWE KWA MSAJILI WA NGO KTK WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, – TOGETHER WE BUILD SOCIETY – JIONI NJEMA
(Bila tafsiri)
Hariri