HABARI ZINAZOHUSU WANAKIKUNDI WA WEMA - MKALAPA, WILAYA YA MASASI – 1. WANAHARAKATI WA ELIMU, MAZINGIRA NA AFYA - WEMA, WAENDESHA MJADALA WA WAZI KATIKA MJI MDOGO WA NDANDA, MASASI – Tarehe 03 Mei 2010, Wanaharakati wa Elimu, Mazingira na Afya-WEMA, waliendesha mjadala wa wazi uliofanyika katika mji mdogo wa Ndanda uliopo katika... | (Bila tafsiri) | Hariri |