Newora ni asasi ya kutetea haki za wanawake wilayani Newala . Ilianzishwa mwaka 2006 na kusajiliwa rasmi tarehe 26/3/2007 na kupata hati ya usajili No. So katika wizara ya mambo ya ndani. | Newora is a civil rights district Newala women. Founded in 2006 and officially registered on 03/26/2007 and get a certificate of registration No. So the ministry of interior. | Edit |