Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/jeanmedia/post/11021
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Mtweve: Kujitolea damu hakuna madhara. – Na ASIA KILAMBWANDA, Mtwara Community media – Meneja wa mpango wa uchangiaji damu salama kanda ya kusini, Mtweve Vincent amesema kuwa hakuna madhara yeyote yanoyoweza kutokea endapo mtu atachangia au kutoa damu kwa njia iliyo salama. – Mtweve amesema hayo wakati akiongea na mwandishi wa habari hii ofisini kwake juu ya tathmini ya mwamko wa jamii katika uchangiaji wa damu kwa hiari...
(Bila tafsiri)
Hariri