Thanks to Mr.Mashala from LGTI who donate 100,000Tzs every month for these kids to have porriage at school.May God Bless him,his family,his work,his livestock,his farms and workers.They still need a class as you can see they are outside.DONATE:lati.tanzania@yahoo.com.Tunamshukuru Bw.Mashala kwa kuchangia 100,000Tzs kila mwezi kwa ajili ya kuwapatia watoto hawa uji wakiwa shuleni.Mungu ambariki yeye na familia yake,kazi yake ,mashamba yake ,mifugo na wafanyakazi... | (Not translated) | Edit |