Fungua

/hct/post/77691: Kiswahili

AsiliKiswahili
Hisia's Artists(Bila tafsiri)Hariri
Hisia tumehudhuria workshop ya wadau wa VVU/UKIMWI iliyofanyika manispaa ya Iringa. Pamoja na mambo mengine tumeweza kubadilishana uzoefu na asasi nyingine. Ni fursa nzuri za kujifunza ambazo tunazihitaji sana!(Bila tafsiri)Hariri