Envaya

/hct/post/77696: Kinyarwanda: WIfmL4vbKa8bwNYdBS0zFvMI:content

Base (Igiswayire) Kinyarwanda
HISIA CULTURAL TROUPE ipo katika mchakato wa kuboresha shughuli zake na kuongeza shughuli za uelimishaji rika na nyinginezo za kijamii. Ukiwa kama mwanajamii tunahitaji sana ushauri wako katika kuboresha hilo ambapo kama jina litapitishwa itajulikana kwa jina

HISIA MEDIA AND COMMUNICATION ORGANIZATION--HIMCO

Ofisi yetu mpya imeshafunguliwa eneo la Mshindo iringa mjini. Mnakaribishwa sana kutuma maoni yenu kupitia

0754439740
hisiaone@gmail.com

KARIBUNI SANA MTUSHAURI....
(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe