About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/kgcd/network
: English
Base
English
The Foundation for Civil Society ni Mfadhili mkubwa wa Kijogoo Group for Community Development, Katika kipindi cha miaka 7 tumekuwa tukitekeleza miradi ya Utawala Bora kwa Ufadhili wake na pia imekua ikitujengea uwezo wa kiutendaji sisi Viongozi wa shirika la Kijogoo ili kufanya kazi kwa ufanisi na tija. – Tunaipongeza sana na tunaishukuru sana
(Not translated)
Edit
Ama kwa hakika SMGEO tunamahusiano ya kubadilishana uzoefu katika maswala ya uandishi wa miradi na kuepeana taarifa za wafadhili mbalimbali walioko ndani na nje ya nchi
(Not translated)
Edit
Wataalam Group Gairo. – Karibuni katika ulimwengu wa kidigatali, yaonekana mko nyuma sana hivyo nawaomba na kuwashauri hivi sasa mjiunge na Envaya
(Not translated)
Edit