Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/kgcd/post/61509
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Nawapenda wadau wote na ninashauri mjiunge na envaya
(Bila tafsiri)
Hariri
Habari wadau wote wa maendeleo,kwanaza poleni sana na harakati za kila siku za kuleta maendeleo hapa nchini kwetu, – Asasi yetu inatekeleza mradi wa uwajibikaji wa jamii katika kufuatilia rasilimali za umma sekta ya afya wilaya ya ulanga tarafa ya vigoi kata za msogezi na nawenge,tulianza na shuguli ya kuendesha mafunzo kwa viongozi na watendaji wa serikali,wananchi wa kawaida na wajumbe wa kamati za afya kutoka vijiji vya kata husika za mradi na baada ya mafunzo hayo tumeendesha...
(Bila tafsiri)
Hariri