About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/kgcd/post/61520
: English
Base
English
Habari wadau wa Maendeleo. – Napenda kuchukua fursa hii kuwasalimia na kuwatakia maandalizi ya sikukuu zijazo mbeleni,lakini pia kuhakikisha mnaipitia upya mipango kazi tayari kwa maboresho kwa mwaka mpya ujao. – Changamoto kubwa iliyoko mbele yetu ni upashanaji wa habari ambayo bado inasumbua sana na hatupashani habari kwa wakati lakini pia mwaka mpya unaokuja tujenge tabia ya kutembeleana na kubadilishana uzoefu – Naomba niishie hapo...
(Not translated)
Edit