Fungua

/kgcd/post/61516: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image) – Katika Jambo lolote lile changamoto hazikosekani,hapa usafiri tuliokuwa tukiutumia umenasa kwenye tope zito baada ya miundo mbinu ya barabara kuharibika vibaya kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha wakati huo(Bila tafsiri)Hariri