About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/kgcd/post/61510
: English
Base
English
Habari wadau ,napenda kuwapongeza wale wote waliopata fursa ya kupewa ruzuku kwa ajili ya kuelimisha wananchi kujitokeza kupiga kura na kulinda amani kwa kipindi chote cha uchaguzi. – Ni matumaini yetu kuwa mtawajibika ipasavyo na jamii itathamini mchango wa asasi kwa elimu mtakayoitoa nasi tusiopata ruzuku tunaunga mkono juhudi zenu , cha msingi mzingatie kanuni na masharti
(Not translated)
Edit
Habari wadau,napenda kuchukua fursa hii ya kipekee kwa kutoa taarifa kwa wadau wote wapenda maendeleo nchini kwetu Tanzania. – ikumbukwe kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu,hivyo wadau yatuoasa tuwe mstari wa mbele kwa kuielimisha jamii iliyojiandikisha ijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi ambapo ni tarehe 25 oktoba 2015, na tuhamasishe wananchi kuwa uchaguzi huu uwe wa AMANI na HURU kwani amani ndio njia pekee ya kudumisha amani na utulivu Nchi yetu ya Tanzania. ...
(Not translated)
Edit