Jumuiya hii inaitwa Jumuiya ya Kuhifadhi Mazingira ya Mkokotoni "(Mkokotoni Environmental Conservation Association (MECA) )". Ni jumuiya ya kiraia na siyo ya Serikali. Jumuiya hii inapatikana katika eneo la kibiashara la Mkokotoni, Wilaya ya Kaskazini "A", Mkoa wa Kaskazini Unguja ndipo makao makuu yake. Jumuiya imejenga ofisi yake ... | This is called the Community Preservation Community Environment Mkokotoni "(Mkokotoni Environmental Conservation Association (MECA))". It is civil society and not the government. Community is available in the commercial area of Mkokotoni, North District "A", North Unguja Region where its headquarters. Community has built his office ... | Edit |