Jumuiya hii inaitwa Jumuiya ya Kuhifadhi Mazingira ya Mkokotoni "(Mkokotoni Environmental Conservation Association (MECA) )". Ni jumuiya ya kiraia na siyo ya Serikali. Jumuiya hii inapatikana katika eneo la kibiashara la Mkokotoni, Wilaya ya Kaskazini "A", Mkoa wa Kaskazini Unguja ndipo makao makuu yake. Jumuiya imejenga ofisi yake ... | (Bila tafsiri) | Hariri |