Base ((unknown language)) | English |
---|---|
Kusaidia jamii za Pemba kupitia kamati za uhifadhi na maendeleo za shehia, kusimamia kikamilifu mbinu za uhifadhi wa maliasili na mazingira yao. Kusaidia jamii za Pemba kupitia Kamati za uhifadhi na maendeleo za Shehia kujikita katika mbinu mbadala za kuongeza kipato na kuboresha hali za maisha. Kusaidia jamii kutumia vyema mapato yanayotokana na faida za uhifadhi wa rasilimali zinazowazunguka katika kuanzisha na kuendesha miradi ya maendeleo inayotokana na mipango yao ya shehia. Kushirikiana na taasisi nyengine katika kuleta maendeleo endelevu na usimamizi mzuri wa maliasili za Pemba. Kushirikiana na wadau wengine ndani na nje wanaojishughulisha katika mambo ya uhifadhi na maliasili na maendeleo. |
Pemba Supporting communities through conservation and development committee of shehia, actively managing the natural resource conservation techniques and their environment. Pemba Supporting communities through conservation and development committee of Shehia focus on alternative methods of raising incomes and improving standards of living. Helping communities to better revenues and profits generated from conservation of resources around them in establishing and running development projects and programs based on their shehia. collaborate with other institutions in sustainable development and management of natural resources in Pemba. collaborate with other internal and external stakeholders involved in conservation and natural resource development. |
Translation History
|