Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/masayoden/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
UTAMBULISHO MASAYODENni shikalisilo la kiserikali na lipo wilaya ya Masasi mkoa wa Mtwara.Shirika lilianzishwa rasmi tarehe 18/5/2002 liliundwa na vikundi 34 vya vijana toka kila kata za wilaya ya Masasi. Masayoden ilisajiliwa tarehe 13/6/2003. namba ya usajili ni S .O.NO 11980 .Shirika linafanya shughuli za vijana ngazi ya wilaya. Lengo kuu ni kupambana na umasikini na vvu/ukimwi wilaya ya masasi. MASAYODEN ni mwanachama wa shirika Mwamvuli la NGOs Masasi (MANGONET). Masayoden inamahusiano...
(Bila tafsiri)
Hariri
(document)
(document)
Hariri