Envaya

/maswangonet: Kiswahili: WI0003C7F693993000027358:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

Kuunganisha na kuratibu shughuri za asasi za kiraia wilayani maswa

kuwajengea uwezo viongozi wa Asasi za kiraia wilayani maswa

kufuatilia sera na kutoa elimu kwa jamii juu ya sera hizo pia kutoa elimu kwa jamii kuhusu utawala bora na utawala wa sheria

kuelimisha jamii kuhusu masuala ya mkukuta na kutetea haki za kijamii wilayani maswa

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe