Base (Swahili) | English |
---|---|
kutoa huduma kwa watoto yatima na waishio katika mazingira magumu na wale wanaoishi na vvu/ukimwi kuwasidia wanawake wajane katika huduma za kijamii ikiwemo pamoja na elimu ya ujasiliamali kutoa elimu ya utayari kwa wanawake katika nyanja nzima ya utendaji kazi na maendeleo |
providing services to orphans and people living in difficult circumstances and those living with HIV / AIDS help the widows in social services including education and Entrepreneurship provide preparedness education to women in the entire sphere of operations and development |
Translation History
|