Injira

/yad/history: Kinyarwanda: WInv6v2MyJvCZTSoJvEBv8Jn:content

« Inyuma   ·   Ahakurikira »
Base (Igiswayire) Kinyarwanda

 

Youth Action Development (YAD) ni shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia maendeleo ya jamii ya Tanzania na hasa limejikita katika maendeleo ya vijana. Shirika hili linafanya kazi kwa manufaa ya watanzania wote na si kwa ajili ya kunufaisha kundi la watu au mtu binafsi.

Youth Action Development ni shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia maendeleo ya vijana kwa matendo. Shirika ambalo halina ubaguzi wa Rangi, Kabila, Dini au Jinsia, lenye namba ya usajili SO. No. 14486 ya mwaka 2006 chini ya sheria No. 5 ya mwaka 1954 na kupata cheti cha ukubalifu mwaka 2007, No 1811 chini ya sheria ya NGO ya mwaka 2002 . Shirika hili linafanya kazi kwa manufaa ya watanzania wote na si kwa ajili ya kunufaisha kundi la watu au mtu binafsi. Asasi hii ilianza kufanya kazi zake rasmi mwaka 2009 katika mkoa wa Dar es salaam.

Lengo kuu la shirika hili ni kusaidiana na Serikali ili kufikia lengo la kukuza uchumi na kupunguza umaskini ambalo ni MKUKUTA II na MKUZA pia na kufikia lengo la Milleniam (MDGs).

Shirika hili liaanza kufanya shughuli zake mwaka 2004 likiitwa Kinondoni peer educators, wakati huo lilikuwa halijasajiliwa. Limesajiliwa rasmi mwaka 2006 na kupata cheti cha ukubalifu mwaka 2007. Tulianza na wanchama 11 kwa sasa tuna wanacha 47. 

 

Malengo ya shirika la YAD ni pamoja na:-

  1. Kuwainua vijana kiuchumi na kuwawezesha kujitegemea kwa kukusanya nguvu ya pamoja na kuanzisha miradi ya maendeleo ya mmoja mmoja na ya kikundi ili kufikia hali yaujasiliamali.
  2. Kuunganisha vijana katika shughuli zote za maendeleo katika jamii ili kuwawezesha kupambana na maadui wa Taifa letu ambao ni UJINGA, MARADHI, UMASIKINI na RUSHWA.
  3. Kutoa Elimu ya Afya katika jamii Kuhusu UKIMWI, Madawa ya kulevya, na milipuko ya magonjwa Mashuleni, Mitaani, katika viwanja vya michezo, sehemu mbalimbali za mikusanyiko na sehemu za kazi.
  4. Kufanya utafiti  na kutoa ushauri wa kiutaalamu kwa serikali pamoja na mashirika yenye malengo ya kimaendeleo.
  5. Kutoa elimu ya uraia na ujasiliamali katika jamii.

    

                                                             



 

1.0  OBJECTIVES

  • Collaborate with communities on any development issues related to social – economic rehabilitation and development in health education and any other development activity. Include WASH (water sanitation and hygiene to both rural and urban areas)
  • Foster Family Health and Civic Education.
  • To establish and empower women community based organization in the country through different child and women funds.
  • Educate on environmental conservation and land laws
  • Training on how to handle the problem of unwanted pregnancies especially among Primary and Secondary school students;
  • Awareness programs on sex Transmitted Diseases, especially HIV/AIDS and Drug abuse;
  • Equip the youth with life skills;
  • Assist Orphans and Vulnerable Children (OVC)
  • To enhance and inherit the Tanzania cultures to youths through educating them about importance of education, its aims and meaning to both students and parents in schools, streets and in working areas.
  • Conducting research and advice the Government on matters pertaining to the Youth.

 

5.0 OUR VALUES

  • Integrity

We are honest and consistent both in what we do and say. We take responsibility for our actions and decisions.

  • Mutuality

We wish to learn from and share with other people; we put effective relationships at the heart of our work towards common goals.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

6.0 CAPACITY STATEMENT

The founders and Management of YAD are diversity of professionalism which include Public health specialist, masters or postgraduate in Education, social welfare, media specialist, Economists, Business administration, Human resource development, Accounts and financial management, social scientist, political science, and animators.

No.

Name of the expert

Educational background/Professional

Title

1.

Pricilla J. Moshi

Master degree on Education

Chairperson

2.

Adam M. Mugishagwa

Degree in Economics and Development

Secretary General

3.

Pilly Ramadhani

Degree on Business Administration

Accountant

4.

Mariam H. Nyirenda

Degree on Gender and Development

Member

5.

Teddy Kiwango

Degree on Law

       -

6.

Akilimali Njama

Masters degree on Political science and Administration

       -

7.

Tiberius P. Mlowosa

MBA Financial and Banking

       -

8.

Halima Mbarouk

Degree of Insurance and risk management

 

9.

Beatha Hunje

Degree of Human Resource Management

 

10.

Alhijjah Mussa

Postgraduate in Education

 

11.

Max James

Master degree on Project Planning and management

 

12.

Kuluthum Hintah

Degree of Gender and Development

 

13.

Nelson Matovu

Degree on Political and Social management.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

7.0  ORGANIZATION STRUCTURE OF YAD

YAD is guided by a registered Constitution. The highest decision-making organ is the General Meeting (GM) which meets once in year. The GM elects members of the Executive Committee which oversees the implementation of YAD strategic plans and other guidelines approved by the GM. The Executive Committee comprises the Chairman, Deputy Chairman, The Secretary General, The Deputy Secretary, The Treasurer, Deputy Treasurer, and other seven members. The day today activities of YAD are carried out by program officers under the leadership of the Executive Director who is appointed by the Executive committee of YAD.

ORGANIZATION CHART OF YAD

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 


 

 

8.0  ACTIVITIES CARRIED OUT SO FAR

Year 2007 – 2010: Conducted training on Family health education to primary and secondary schools in Kinondoni municipal. The photos below shows some of the classes of pupils learning on how to handle the problem of early pregnant and STIs.

 

Year 2011: Conducted a workshop on organizational capacity building and Fund Rising to all member and founders of YAD. The following photo shows the members of YAD attending on the workshops.

 

Year 2012 – 2013: Conducted Social Accountability and Monitoring on Education sector and Land laws in Mburahati, Mabibo and Makurumula wards at Kinondoni municipal. Below, the first photo shows the leaders of YAD, the second shows the participant of SAM workshop at Mburahati word and the last photo shows the Members of YAD with Prime Minister of the United Republic of Tanzania Hon. Mizengo K. Pinda on the ground area of the House of parliament in Dodoma region. (April 2013).

 

Year 2014 YAD strategic plan and Project write up on Rural and Urban Peace Project (RUPP ) and the launch of Peace Fund.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe