Envaya

/zansa/history: English: WILXrbuYaRAqB5WdeSgHT4ib:content

Base (Swahili) English

Chama cha Skauti Ulimwenguni kilianzishwa na Mwengereza aitwae Sir Lord Baden Powel (BP) tangu mwaka 1907 huko uingereza katika kisiwa cha Brown sea, uskauti uliingia Zanzibar mwaka 1912 miaka 5 tu baada ya kuanzishwa na Sir lord Baden Powel.

Chama cha Skauti Zanzibar kimeanzishwa mwaka 1912 tangu ukoloni, baada ya Mapinduzi ya Zanzibar 1964 Mheshimiwa Rais wa kwanza hayati Abeid Amani Karume akaisitisha kuendelea kufanya kazi na kuona kwamba ni sehemu ya ukoloni kwa uskauti huo umeletwa na waingereza.

 

Hata hivyo mwaka 1992 Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano Dr Salmin Amour Bin Juma alipokwenda Magila Mkoani Tanga katika jamboree na kuwaona vijana wa skauti, Mheshimiwa Rais alikuwa na shauku ikiambatana na furaha baada ya kuwaona vijana wa skauti katika mkoa huo papo hapo akaamua uskauti huo uwepo na visiwani Zanzibar ili vijana nao waweze kujifunza ubunifu, uzalendo na ukakamavu.

Kutokana na kauli hio ndio kwa mara ya pili uskauti ukafufuliwa na kuundwa kamati maalum ya kufufua Uskauti Zanzibar, chini ya wizara ya vijana katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa wakati huo.

 

Chama cha Skauti Zanzibar ni chama hiari, na wala hakifungamani na vyama vya siasa nchini lakini wala hakina chembe ya ubaguzi wa rangi dini wala jinsia.

 

Chama Cha Skauti Zanzibar huchangia elimu na Malezi kwa vijana kwa kupitia njia ya ‘Uskauti’ ambapo humjenga kijana kimwili, kiakili, kimtazamo, kijamii, kiimani iliaweze kujitegemea na kuwajibika na kumfanya kijana hujifunza mengi kwa vitendo kama Kusaidia jamii katika Majanga, kutoa huduma za jamii katika siku kuu za kitaifa, Uokozi, na kusaidia jamii katika ujenzi wa Taifa letu.

 

Chama Cha Skauti Zanzibar kitasimaimia harakati za wanachama wake katika ngazi zote za Mkoa, Wilaya na shehia ili kuhakikisha Vijana wa kiskauti kila siku wanatenda mema kwa jamii na kuhakikisha wanapata elimu ya kutosha kulingana na kanuni na Ahadi za Shirika la harakati za skauti Ulimwenguni (Wold organization Scouts Movement)

Iyeleweke kwamba suala la skauti ni suala la kitaifa na linajulikana Dunia nzima tangu ilipoasisiwa na mwanzilishi wake Sir. Lord Baden Powell.

imetoewa na

Rahma Mohammed Shariff

Kamishna Habari na Mawasiliano

Chama Cha Skauti Zanzibar

 

World Association of scouts was founded by Baden Powel mwengereza (BP) In 1907, at Brown Sea Island, Zanzibar scout was installed in 1912 just five years after the introduction of the Baden Powel in the UK where the first group was formed in Mkunazini Zanzibar. Famous people who kumo on the first group is Marehem Ibun Sheikh Saleh, who was director of the Zanzibar school commorian who was the leader of the ZNP. The second group was formed in 1929 outskirts celebrities included as Marehem Muhammad Salim Barwan (Jinja) Dr. Said Mahafoudh 1929 -1930 he was appointed to study medicine at Makerere was under Hilal Mohammed Barwani, eat three founded by Sheikh Yahya Alawi in 1929 later uogozi came under The sheik shekh successor bin Omar assisted by Sheikh month before Ramadhan Saleh ass these are the people who ran the scout Chin Zanzibar after the Revolution Tremendous scout Chin Zanzibar was suspended rasmin until 1995 when former president Dr Salmin Amour was heard muwaliko camp scouts Magila Tanga and requested yarejeshwe groups experiment was repeated in Zanzibar scout group for introduction into the school of Mwembe ladu and is beginning to spread to Zanzibar scout groups, scout was there Mwl quickly. Julius K. Nyerere announced that the scout is not maintained in the colony should raise this young nation.

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
May 25, 2012
World Association of scouts was founded by Baden Powel mwengereza (BP) In 1907, at Brown Sea Island, Zanzibar scout was installed in 1912 just five years after the introduction of the Baden Powel in the UK where the first group was formed in Mkunazini Zanzibar. Famous people who kumo on the first group is Marehem Ibun Sheikh Saleh, who was director of the Zanzibar school commorian who was the leader of the ZNP. The second group was formed in 1929 outskirts celebrities included as Marehem...
This translation refers to an older version of the source text.