Chama cha Skauti Ulimwenguni kilianzishwa na Mwengereza aitwae Sir Lord Baden Powel (BP) tangu mwaka 1907 huko uingereza katika kisiwa cha Brown sea, uskauti uliingia Zanzibar mwaka 1912 miaka 5 tu baada ya kuanzishwa na Sir lord Baden Powel. – Chama cha Skauti Zanzibar kimeanzishwa mwaka 1912 tangu ukoloni, baada ya Mapinduzi ya Zanzibar 1964 Mheshimiwa Rais wa kwanza hayati Abeid Amani Karume akaisitisha kuendelea kufanya kazi na kuona kwamba ni sehemu ya ukoloni kwa uskauti... | (Not translated) | Hindura |