About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/zao/post/22502
: English
Base
English
Zao wanaahidi kupambana na umaskini kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo
Their promises to fight poverty in collaboration with development partners
Edit
Jumuiya inaomba mashirikiano na wadau mbali mbali wa maendeleo
Community is requesting cooperation and development stakeholders
Edit
ZAO kwa kushirikiana na mashirika mbali mbali wa maendeleo wanaweza kutokomeza umasikini iwapo wataonesha juhudi za kweli.
CROP in collaboration with various agencies of development can eradicate poverty if they showed real effort.
Edit
Jumuiya ya Zanzibar Ant Poverty Organization imeelimisha vijana wa kijiji cha SOS mwaka 2009 Jumuiya ilisaidia vijana waliofaulu kidato cha tatu ambao ni yatima katika skuli ya kwamtipura mwaka 2010 Jumuiya ilielimisha vijana kuhusu athari za mimba za umri mdogo katika ukumbi wa elimu mbadala tarehe 18/12/2010
Ant Community of Zanzibar Poverty Organization youths imeelimisha SOS village in 2009 Community youth who successfully helped form three who are orphans in the school in 2010 kwamtipura Community ilielimisha youth about the impact of early pregnancy in an alternative education venue on 12/18/2010
Edit