About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/Credible5/history
: English
Base
English
Jina langu kanili ni RAYMOND FREDY ni mzaliwa wa ARUSHA TANZANIA nina umri wa miaka 20.nilitambua nina kipaji shule ya msingi mwaka 2006 na sikuweza kupata wa kuniendeleza miaka ikazidi kusogea mpaka ilipo fika mwaka 2009 ndipo nikaanza kujishughulisha na shughuli za kisanaa hadi kufikia sasa. NIPO HAPA KU SAPOTI KAZI ZINAZO HUSIANA NA SANAA.
(Not translated)
Edit